Ufafanuzi wa ubivu katika Kiswahili

ubivu

nominoPlural ubivu

  • 1

    hali ya kuiva tunda inayofikiwa baada ya kukomaa.

Matamshi

ubivu

/ubivu/