Ufafanuzi wa ubuge katika Kiswahili

ubuge

nomino

  • 1

    tabia ya kupenda kula udohoudoho au vitu vidogovidogo, hasa vikavu, mara kwa mara.

Matamshi

ubuge

/ubugÉ›/