Ufafanuzi wa ubunge katika Kiswahili

ubunge

nomino

  • 1

    kazi inayofanywa na mbunge ya kuwawakilisha watu wake na kushiriki katika shughuli za bunge.

Matamshi

ubunge

/ubungÉ›/