Ufafanuzi wa ubutu katika Kiswahili

ubutu

nominoPlural ubutu

  • 1

    hali ya kitu k.v. panga au kisu kukosa makali ya kukatia.

Matamshi

ubutu

/ubutu/