Ufafanuzi wa ubwete katika Kiswahili

ubwete

nominoPlural ubwete

  • 1

    hali ya kutokuwa na bidii ya kufanya kazi.

    uvivu, ukunguni

Matamshi

ubwete

/ubwɛtɛ/