Ufafanuzi wa uchachamavu katika Kiswahili

uchachamavu

nominoPlural uchachamavu

  • 1

    hali ya kuwa imara au kushikilia jambo fulani.

Matamshi

uchachamavu

/utʃatʃamavu/