Ufafanuzi wa uchache katika Kiswahili

uchache

nominoPlural uchache

  • 1

    hali ya kutopatikana au kutokuwako kwa wingi.

    ‘Nieleze kwa uchache wa maneno’
    ‘Nyunyiza mafuta kwa uchache tu’
    ukalili, uhaba, uchechefu, udogo, akali

Matamshi

uchache

/utʃatʃɛ/