Ufafanuzi wa uchaji katika Kiswahili

uchaji

nominoPlural uchaji

  • 1

    hali ya kuogopa.

    ucha, uogopaji

Matamshi

uchaji

/utʃaʄi/