Ufafanuzi msingi wa uchale katika Kiswahili

: uchale1uchale2uchale3

uchale1

nominoPlural chale, Plural uchale

 • 1

  alama inayobaki baada ya mtu kuchanjwa.

  ‘Chanja uchale’
  ‘Pigwa uchale’

Ufafanuzi msingi wa uchale katika Kiswahili

: uchale1uchale2uchale3

uchale2

nominoPlural chale, Plural uchale

 • 1

  udugu wa kuchanjiana.

  ‘Kula uchale’

Ufafanuzi msingi wa uchale katika Kiswahili

: uchale1uchale2uchale3

uchale3

nominoPlural chale, Plural uchale

 • 1

  tabia ya kufanya vitendo vya kuchekesha.

Matamshi

uchale

/utʃalɛ/