Ufafanuzi wa uchangamfu katika Kiswahili

uchangamfu

nomino

  • 1

    hali ya furaha.

    ukunjufu, furaha, bashasha

Asili

Kar

Matamshi

uchangamfu

/utʃangamfu/