Ufafanuzi msingi wa uchapaji katika Kiswahili

: uchapaji1uchapaji2

uchapaji1

nominoPlural uchapaji

  • 1

    kazi ya kutumia mashine au mitambo kutolea maandishi k.v. gazeti au vitabu.

Matamshi

uchapaji

/utʃapaʄi/

Ufafanuzi msingi wa uchapaji katika Kiswahili

: uchapaji1uchapaji2

uchapaji2

nominoPlural uchapaji

  • 1

    upigaji wa kitu k.v. kwa kiboko au bakora.

Asili

Khi

Matamshi

uchapaji

/utʃapaʄi/