Ufafanuzi wa uchapishaji katika Kiswahili

uchapishaji

nomino

  • 1

    kazi ya kushughulika na utoaji wa vitabu na kuvitawanya kwa kuviuza kwa watu.

Matamshi

uchapishaji

/utʃapi∫aʄi/