Ufafanuzi wa uchawi katika Kiswahili

uchawi

nominoPlural uchawi

  • 1

    ufundi wa kutumia dawa au vitabu maalumu vya uganga ili kuleta madhara kwa viumbe.

    sihiri, juju, machezo, dunga

  • 2

    vifaa vinavyotumika katika shughuli za kurogea.

Matamshi

uchawi

/utʃawi/