Ufafanuzi wa uchechea katika Kiswahili

uchechea

nominoPlural uchechea

  • 1

    hali ya kupambazuka k.v. kwenye anga baada ya mawingu kuondoka.

    ‘Kwanza anga lilikuwa na utusi, sasa lina uchechea’

Matamshi

uchechea

/utʃɛtʃɛja/