Ufafanuzi wa ucheshi katika Kiswahili

ucheshi

nominoPlural ucheshi

  • 1

    tabia ya kuwa mchangamfu na mwenye furaha kwa watu.

    bashasha, furaha

Matamshi

ucheshi

/utʃɛ∫i/