Ufafanuzi wa uchezaji katika Kiswahili

uchezaji

nominoPlural uchezaji

  • 1

    namna ya kucheza.

    ‘Uchezaji wake si mzuri’

  • 2

    tabia ya kupenda kuchezacheza.

Matamshi

uchezaji

/utʃɛzaʄi/