Ufafanuzi msingi wa uchi katika Kiswahili

: uchi1uchi2

uchi1

nominoPlural uchi, Plural nyuchi

  • 1

    tupu, rabana, utupu

Matamshi

uchi

/utʃi/

Ufafanuzi msingi wa uchi katika Kiswahili

: uchi1uchi2

uchi2

kielezi

  • 1

    bila ya kuwa na nguo.

    ‘Amekaa uchi’
    tupu, chini

Matamshi

uchi

/utʃi/