Ufafanuzi wa uchomozi katika Kiswahili

uchomozi

nomino

  • 1

    uganga wa kienyeji wa kutoa vitu vya uchawi vinavyodhaniwa kuwa huingia mwilini mwa mtu baada ya kurogwa.

Matamshi

uchomozi

/utʃɔmɔzi/