Ufafanuzi wa uchoraji katika Kiswahili

uchoraji

nominoPlural uchoraji

  • 1

    kazi au tendo la kuchora picha na michoro mbalimbali kwa kalamu, brashi, n.k..

  • 2

    shughuli au tendo la kusanifu majengo, vitabu, n.k..

Matamshi

uchoraji

/utʃɔraʄi/