Ufafanuzi wa uchovu katika Kiswahili

uchovu, uchofu

nominoPlural uchovu

  • 1

    hali ya kupungukiwa na nguvu mwilini baada ya kushughulika.

    machofu

Matamshi

uchovu

/utʃɔvu/