Ufafanuzi wa uchu katika Kiswahili

uchu

nominoPlural uchu

  • 1

    hali ya kutamani sana kitu.

    kiu, hamu

Matamshi

uchu

/utʃu/