Ufafanuzi wa uchumba katika Kiswahili
uchumba
nominoPlural uchumba
- 1
makubaliano ya pande mbili baina ya mwanamke na mwanamume wanaotaka kuoana.
- 2
kipindi ambacho mwanamume na mwanamke wanakaa kabla ya kufunga ndoa baada ya kuwa na makubaliano ya kuoana.
‘Funga uchumba’