Ufafanuzi wa uchunguzi katika Kiswahili

uchunguzi

nominoPlural uchunguzi

  • 1

    utafutaji wa jambo lisilojulikana na wengi ili kulidhihirisha.

    udadisi

  • 2

    utafutaji wa ukweli wa jambo fulani katika taaluma.

    utafiti

Matamshi

uchunguzi

/utʃunguzi/