Ufafanuzi wa uchuro katika Kiswahili

uchuro

nominoPlural uchuro

  • 1

    hali ya kuwa na kisirani.

    mkosi, ndegembaya

Matamshi

uchuro

/utʃurɔ/