Ufafanuzi wa uchwara katika Kiswahili

uchwara

kivumishi

  • 1

    -enye kutokuwa na thamani.

    ‘Kiduka uchwara’
    ‘Ubwanyenye uchwara’
    duni

Matamshi

uchwara

/utʃwara/