Ufafanuzi wa udadisi katika Kiswahili

udadisi

nominoPlural udadisi

  • 1

    utafutaji wa habari kuhusu kitu au jambo ili lijulikane ukweli wake.

    upelelezi, sachi, speksheni, upekuzi, uchunguzi

Asili

Kar

Matamshi

udadisi

/udadisi/