Ufafanuzi msingi wa udaktari katika Kiswahili

: udaktari1udaktari2

udaktari1

nominoPlural udaktari

 • 1

  elimu ya utabibu.

 • 2

  kazi ya kutibu wagonjwa k.v. hospitalini.

Asili

Kng

Matamshi

udaktari

/udaktari/

Ufafanuzi msingi wa udaktari katika Kiswahili

: udaktari1udaktari2

udaktari2

nominoPlural udaktari

 • 1

  shahada ya juu kabisa ya taaluma fulani.

  ‘Ana shahada ya udaktari katika uchumi’

Asili

Kng

Matamshi

udaktari

/udaktari/