Ufafanuzi wa udaku katika Kiswahili

udaku

nominoPlural udaku

  • 1

    tabia ya kutafuta na kutaka kujua habari za watu.

    kilimilimi, umbeya, fukufuku, uzandiki

Matamshi

udaku

/udaku/