Ufafanuzi wa udekuaji katika Kiswahili

udekuaji

nomino

  • 1

    uangushaji wa kitu k.v. tunda mtini, kwa pigo moja.

  • 2

    upigaji wa kitu kwa mkwaruzo.

Matamshi

udekuaji

/udɛkuwaʄi/