Ufafanuzi wa udereva katika Kiswahili

udereva

nominoPlural udereva

  • 1

    ujuzi wa kuendesha vyombo vinavosafiri nchi kavu.

Matamshi

udereva

/udɛrɛva/