Ufafanuzi wa udhaifu katika Kiswahili

udhaifu

nominoPlural udhaifu

  • 1

    hali ya kutokuwa na nguvu.

    unyonge, uduni, uhafifu

  • 2

    hali ya kuwa na tabia mbaya.

    ‘Udhaifu wake ni uzinzi’

Asili

Kar

Matamshi

udhaifu

/uðaifu/