Ufafanuzi wa udhalilishaji katika Kiswahili

udhalilishaji

nominoPlural udhalilishaji

  • 1

    tendo la kumfanya mtu kuwa dhalili, duni au mnyonge.

Asili

Kar

Matamshi

udhalilishaji

/uðalili∫aʄi/