Ufafanuzi wa udhalimu katika Kiswahili

udhalimu

nomino

  • 1

    tendo la kufanya mambo yaliyo kinyume cha haki.

    uonevu, hiana, ukatili, ubedui, ujahili, unyama

Asili

Kar

Matamshi

udhalimu

/uĂ°alimu/