Ufafanuzi wa udhamini katika Kiswahili

udhamini

nominoPlural udhamini

  • 1

    tendo la kumchukulia mtu dhamana.

Asili

Kar

Matamshi

udhamini

/uðamini/