Ufafanuzi wa udhi katika Kiswahili

udhi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tenda jambo la kusumbua au kuleta kero kwa mwingine.

    ghasi, taabisha

  • 2

    kasirisha, dhiki, chusha, sunza, kereketa, nonga, sumbua, adhibu, kirihi

Asili

Kar

Matamshi

udhi

/uði/