Ufafanuzi wa udhia katika Kiswahili

udhia

nomino

  • 1

    hali inayosumbua au kuleta kero.

    adha, usumbufu, taabu, jekejeke, shida, dhiki, mashaka, kisirani

  • 2

    hali inayoweza kukasirisha.

Asili

Kar

Matamshi

udhia

/uĂ°ija/