Ufafanuzi wa udhibiti katika Kiswahili

udhibiti

nominoPlural udhibiti

  • 1

    tendo au hali ya kusimamia kitu kifanyike kama ilivyopangwa.

  • 2

    tendo la kukagua kitu gani kinafaa kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa.

Asili

Kar

Matamshi

udhibiti

/uðibiti/