Ufafanuzi wa udhika katika Kiswahili

udhika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kasirishwa na kitu au jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

udhika

/uĂ°ika/