Ufafanuzi wa udhuru katika Kiswahili

udhuru

nominoPlural udhuru, Plural nyudhuru

  • 1

    sababu inayomruhusu mtu kusameheka kutenda jambo fulani au kutimiza shughuli fulani.

  • 2

    shughuli au jambo muhimu linalomtokea mtu au kumkosesha kutimiza jambo jingine.

Asili

Kar

Matamshi

udhuru

/uðuru/