Ufafanuzi msingi wa udi katika Kiswahili

: udi1udi2

udi1

nominoPlural nyudi

  • 1

    magome ya mti fulani yanayotoa harufu nzuri yanapoungua, agh. hutumika kufukizia.

Asili

Kar

Matamshi

udi

/udi/

Ufafanuzi msingi wa udi katika Kiswahili

: udi1udi2

udi2

nominoPlural nyudi

  • 1

    ala ya muziki inayofanana na gitaa lakini yenye tumbo.

Asili

Kar

Matamshi

udi

/udi/