Ufafanuzi wa udoezi katika Kiswahili

udoezi

nomino

  • 1

    tendo au hali ya kujipendekeza ili kupata kitu fulani bila malipo.

Matamshi

udoezi

/udɔwɛzi/