Ufafanuzi wa udohoudoho katika Kiswahili

udohoudoho

nominoPlural udohoudoho

  • 1

    kitu au vitu vidogovidogo vinavyoliwa k.v. karanga, bisi au vyakula vya kuokoteaokotea.

    ‘Mwana huyu ikifika saa ya chakula huwa amekwishashiba kwa kupenda kula udohoudoho’

Matamshi

udohoudoho

/udɔhɔudɔhɔ/