Ufafanuzi wa udokozi katika Kiswahili

udokozi

nomino

  • 1

    tabia ya kuchukua vitu vya watu kwa siri bila ya idhini yao.

  • 2

    tabia ya kudokoa vyakula vya watu bila ya ruhusa.

Matamshi

udokozi

/udɔkɔzi/