Ufafanuzi wa udongo katika Kiswahili

udongo

nomino

  • 1

    ardhi ya juu kwenye uso wa nchi ambapo agh. mimea huweza kuota.

    ardhi

Matamshi

udongo

/udɔngɔ/