Ufafanuzi wa udunduzaji katika Kiswahili

udunduzaji

nominoPlural udunduzaji

  • 1

    uwekaji wa kitu kidogokidogo mpaka kiwe kingi baada ya muda.

    uwekevu

Matamshi

udunduzaji

/udunduizaʄi/