Ufafanuzi wa udurusu katika Kiswahili

udurusu

nomino

  • 1

    shughuli ya kupitia tena maandishi yaliyoandikwa zamani kwa madhumuni ya kusahihisha, kuboresha au kuongeza ili kutoa chapisho jipya.

  • 2

    usomaji au upitiaji tena wa maandishi kwa mazingatio.

Matamshi

udurusu

/udurusu/