Ufafanuzi wa uduvi katika Kiswahili

uduvi

nominoPlural uduvi

  • 1

    samaki wa jamii ya kamba walio wadogo sana, ambao agh. wanapatikana baharini kwenye maji madogo au maji haba.

    ushimba

Matamshi

uduvi

/uduvi/