Ufafanuzi wa uele katika Kiswahili

uele

nomino

  • 1

    maumivu ya mwilini.

    maradhi, ukongo, ugonjwa