Ufafanuzi wa uenezaji katika Kiswahili

uenezaji

nominoPlural uenezaji

  • 1

    tendo la kueneza kitu au jambo fulani.

Matamshi

uenezaji

/uwɛnɛzaʄi/