Ufafanuzi wa uenezi katika Kiswahili

uenezi

nominoPlural uenezi

  • 1

    tendo la kusambaza habari, imani, maarifa, utamaduni, n.k. kwa watu wengi zaidi.

Matamshi

uenezi

/uwɛnɛzi/